35 Comments
User's avatar
Elihuruma Richard's avatar

Hellow umetoa funzo zuri Sana Ila ungeacha mawasiliano ama email address ingekuwa poa zaidi

Expand full comment
Chesco Mlowe's avatar

Jamani mm ninashinda namba zao

Expand full comment
Reve's avatar

Asante sana kwa ushauri mzuri wa biashara hii ya vipodozi! At least kuna kitu nimejifunza; mimi ndiyo kwanza nimeanza biashara hii.

Expand full comment
Dogo J's avatar

Nipe uzoefu ndugu yangu, nataka nianzishe biashara hii.

Expand full comment
Sashie's avatar

Mambo, naomba nikuulize ulianza na mtaji wa sh ngapi? Nami nataka nianze kufanya hii biashara

Expand full comment
Zabron's avatar

Hello habari ,

Samahani naweza kupata no Yako bro nikuulize maswali machache

Expand full comment
Mrs Gaston's avatar

Hongera,nataman kujua et milion 3 inaweza kutosha kwa kuanzia,me pia naipenda biashara hii na nilipo nimeona kuna fursa hii

Expand full comment
Munta_boe's avatar

Million 3 kama mtaji wa kukusanya bidhaa,, ila Kuna ela ya pemben kama kulipa pango ya chumba usika kwenda TRA kukadiliwa pia almashaur kuchukua leseni ya biashara. So utapiga hesabu apo wastani ukiweka 4.5M ndo mitaj wengi tunaanza nayo

Expand full comment
Blanka Octavian's avatar

Hongera natamn na Mimi nianze

Expand full comment
Luge mkama's avatar

0768020867...nahtaj kuanza biashara hii mwez wa kwanza ...sijuh ntavpataje naomba unisaidie

Expand full comment
Jenny machange's avatar

Kwa mfani mm nataka kuanza na mtaj mdog kama lak na nusu kwa maeneo ya kijijini

Expand full comment
Rose's avatar

Asante kwa kunielewesha naomba kujua kama una groups la Whatsapp

Expand full comment
NESYO COSMETICS's avatar

je 1,000,000 itanitosha?

Expand full comment
ayubu's avatar

amina

Expand full comment
Diana julius's avatar

Asante kwa funzo zuri ila ungeacha mawasiliano

Expand full comment
Rashird mavenge's avatar

kazi nzuri ndugu

Expand full comment
Gabriel's avatar

Mm na milion tatu je inafaa kufungua duka kwa hiyo ela naombeni ushauri tuuuu 0785889413

Expand full comment
Staford Julias's avatar

Nina mtaji wa laki moja nina weza kunzia kwenye hii biashara ya kuuza Spray?

Expand full comment
Staford Julias's avatar

Mimi nina mtaji wa laki moja naweza kuanza nao kwa hii biashara ya SPRAY

Expand full comment
Roseangel's avatar

Asante kwa fundisho zuri

Expand full comment
Mary's avatar

ok sante kaka namshukuru umenisaidia nimejua wap nianzy

Expand full comment
Jovin laurian gervas's avatar

Mimi nimgeni kidogo na hii biashara ila naipenda sana na kwa sasa nilikua na malizia kulekebisha office ili nifungue nimefuraha kwa ufafanuzi wako na naiman kubwa nilicho jifunza kitanisadia asanten sana

Expand full comment
Magessa_01's avatar

Nimependa sana hili Somo hakika Kuna kitu nimejifunza kikuu sana acha nigange kutafta mtaji🙌

Expand full comment