6 Comments

Ofcoz kutoboa inaitaji moyo daa kweli milion 5 unakuta ni kisima kilefu kuipata

Expand full comment

Nina mtaji wa milioni 1 ndoto yangu nikufanya biashara ya vipodozi nifanyeje ilikuweza kufikia malengoo ?

Expand full comment

Naomba unitafte kwa no 0748219872 na mm ninanhiy one m natamani kuanzsha hyo biashara

Expand full comment

Nina mtaji wa m1 nifanye biashara gani kulingana na mtaji wangu lakini ndoto yangu kufanya biashara ya duka la dawa

Expand full comment

Daah, ni ushauli mzuri ila jinsi mambo yalivyo magumu hata laki moja tu imekuwa mtihani.

Expand full comment

Namba 1,3,5 na 6 njia zipo vizuri Sana hapa natafakari njia ipi nitumie

Expand full comment