Wazo: Kuuza Perfume Original Kwa Wafanyakazi Wenzako, Marafiki Zako, Ndugu Zako na Watu Wengine
1. Bei Ya Kununulia = Tsh 16,000 kila moja
2. Bei ya Kuuzia = Tsh 21,000 kila moja
3. Faida kwa kila moja = Tsh 5,000
Ukiweza kujitangaza kwa watu wako, mtandaoni na kwenye matukio mbalimbali unayohudhuria na kufanikiwa kutengeneza wateja 100 ambao kila mmoja atanunua moja tu basi utaweza kupata Tsh 2,100,000; Toa Tsh 1,600,000 uliyonunulia utabaki na faida ya Tsh 500,000 (Kabla ya kutoa gharama zingine).
Fanya hivyo kila mwezi au miezi miwili, hautatumia tena mshahara wako kulia lunch na kulipia nauli, bill ya umeme na kadhalika ...... Eeeehh kwa sababu utatumia hiki kipato cha ziada 💪💪💪💪💪
Au tu nikuulize, Utafanya nini na Tsh 500,000 yako mpya?
@ AFYA ZAIDI (AZ) CONSULTANTS
www.afyazaidi.co.tz