UNAWEZA KUBADILI TZS 500,000 KUWA TZS 650,000 NDANI YA MUDA GANI?
Nasubiri mawazo yako kisha nitakushauri kitu kizuriiiii kabisa ........
Hi!
Imagine umekaa huna hili wala lile halafu akatokea mshkaji wako anakuomba idea ya biashara yoyote ile itakayomsaidia kuingiza faida ya TZS 5,000 tu kwa siku ila isiwe na mambo mengiiiiii .....
Utamshauri afanye biashara gani? Au utamshauri atoe huduma gani?
Akifanikiwa kuingiza faida ya Tsh 5,000 kila siku maana yake kwa mwezi wenye siku 30 ataingiza faida ya Tsh 5,000 x 30 = Tsh 150,000; ina maana kama amewekeza Tsh 500,000 basi pesa yake itakua hadi kufikia Tsh 650,000 (Tsh 500,000 + Tsh 150,000).
Sasa je, utamshauri afanye ishu gani ili aweze kuingiza hiyo Tsh 5,000 kila siku?
Nasubiri mawazo yako kisha nitakushauri kitu kizuriiiii kabisa ........
Nakusubiri .......
Nipe jibu.
Vinywaji