Tumepanga Party Na Marafiki Wafanyabiashara. Karibu Ujumuike!
Ni The Business Party I; ambapo wafanyabiashara mbalimbali watakutana kufanya biashara, kubadilishana mawazo na kuburudisha akili zao
Moja kati ya changamoto kubwa sana kwa wafanyabiashara ni ukomo wa rasilimali muda, fedha na watu; vikisaidiwa na taarifa na maarifa. Nakumbuka mwaka 2019 wakati Corona inaanza wafanyabiashara wengi waliyumba kwa sababu ya kufeli kuhumili mabadiliko ya soko na upatikanaji wa bidhaa. Sababu kubwa ndo hivyo hapo juu - Taarifa, maarifa, watu, fedha na muda.
Sasa Corona imeisha na biashara zinarudi katika hali ya kawaida. Tunajidhatiti kwa kuimarisha rasilimali tulizonazo na uwezo wa kufanya biashara hata zikitokea changamoto. Tunajijenga na kujiimarisha. Kwa kuwa wewe ni mfanyabiashara na una malengo makubwa tunakusogezea mchongo ………..
Tutakutana wafanyabiashara mbalimbali kwa ajili ya kubadilishana mawazo, kukuza network, kufanya biashara, kupata mafunzo kutoka kwa watoa mada, kupata burudani itakayopumzisha akili, kula na kunywa; kwa kifupi ni Party, ila hii ni Business Party!
Jiandikishe leo ili uje ujumuike na uburudike huku ukikuza na kuendeleza biashara yako. Jaza fomu hapa kujisajili: https://shorturl.at/FG0u2
Kwa maelezo zaidi tafadhali wasiliana nasi: support@azc.co.tz | +255 788 179 686.
Wahi jisajili mapema usikose fursa hii!