NUNUA BIDHAA ORIGINAL KWA BEI NAFUU KUTOKA KWETU AFYA ZAIDI (AZ) CONSULTANTS ....
Ndio mahali unapokuwa na uhakika wa ushauri wa kitaalam, bidhaa bora na bei nzuri .......
Hi! Siku hizi ukihitaji kununua bidhaa zako zozote za usafi wa mwili, usafi wa nyumba na mazingira, vipodozi, virutubisho, vifaa vya mazoezi na kadhalika usipate tabu tena kutafuta na kuhangaika na bei na ubora; badala yake weka oda kwetu AFYA ZAIDI (AZ) CONSULTANTS nasi tutakutimizia mahitaji yako na kukidhi matarajio yako.
AFYA ZAIDI SHOP: Duka lako bomba la bidhaa bora za Afya, Urembo na Vipodozi
* Bidhaa original
* Punguzo la bei
*Ofa mbalimbali
* Ushauri wa kitaalam
* Kuletewa bidhaa ulipo
* Kuweza kuchukua bidhaa kisha kulipia baadae
BIDHAA: Bidhaa aina zote za Vipodozi, virutubisho, vifaa vya mazoezi, bidhaa za usafi wa mwili, vitabu, tiketi na kadhalika
HUDUMA: Huduma kwa wateja, ushauri wa kitaalam, bili, kutajiwa bei za bidhaa, kupokea oda na kufanya delivery ya bidhaa kwa wateja wetu wote popote walipo.
UTARATIBU: Anza kujisajili ili uwe Member wetu na kupata huduma za vipaumbele na upendeleo kwenye bei na huduma za ziada. Unajiandikisha tu majina yako kamili, mahali ulipo, mawasiliano yako na kisha kufunguliwa akaunti yako
Ukitaka bidhaa Unaulizia bidhaa unazohitaji kisha unaambiwa kama tunazo pamoja na bei zake, Unaweka oda ya bidhaa unazohitaji na idadi yake, unatumiwa bili, unaagiza uletewe, unaletewa bidhaa zako, unapokea bidhaa zako kisha unafanya malipo
Jisajili sasa upate punguzo la bei 10% kama ofa ya kuanzia
Tumia ofa yako ukiwa tayari.... ULIZIA BIDHAA ZAKO NA KISHA WEKA ODA.
Ulizia bidhaa zako na bei kwa WhatsApp 0788179686 au Email: afyazaidi@gmail.com
Kwa maelezo zaidi tafadhali tembelea website yetu https://afyazaidi.co.tz au wasiliana nasi kwa WhatsApp 0788179686 au Email: afyazaidi@gmail.com
Karibu sana AFYA ZAIDI (AZ) CONSULTANTS!
Nahitaji kufanya biashara ya vipodozi ila sifahamu navipatia sehemu gani ❓ na sivifahamu vilivyo fake ❓ msaaada 🙏✍️