Namna ya kugundua bidhaa feki
Jiandikishe uweze kujua siku na muda kisha kuhudhuria darasa letu lijalo
Bidhaa feki zinaweza kuhatarisha uhai, usalama na afya ya mtumiaji. Fikiria umenunua dawa feki na unatumia ili kupona ugonjwa mbaya. Je, utapona?
Au mfano umenunua spea feki ya gari au pikipiki. Hautapata ajali?
Ungana nasi katika darasa letu lijalo (Ni bure, na litafanyika online) ambapo tutakuwa tunaangazia namna ya kugundua bidhaa feki. Jiandikishe hapa ili kuweza kuhudhuria: https://docs.google.com/forms/d/17mx3R-uBrBqGzQsP4vGV7uhNg2dWYKyqeXqOnQPzRWs/edit
Karibu sana!