MASWALI NILIYOULIZWA SANA NA WAPENZI WA BIASHARA YA VIPODOZI
0788179686 | afyazaidi@gmail.com | https://afyazaidi.co.tz
1. Vipi biashara ya vipodozi inalipa kweli?
2. Vipodozi kwa bei ya jumla nitavitoa wapi?
3. Vipi kuhusu kufungiwa duka lako na TFDA na kukamatwa?
4. Mtaji kama shillingi ngapi unatosha kuanzisha duka la vipodozi?
5. Vipi kuhusu vipodozi feki utavijuaje?
6. Unapangaje bei ya vipodozi vyako?
7. Location nzuri zaidi ya kuweka duka ni maeneo gani?
8. Taratibu za kusajili na kuanza biashara zipoje?
9. Vipodozi gani vina faida kubwa zaidi?
10. Natangazaje biashara yangu ili nipate wateja wengi?
11. Mtaji wangu ni mdogo tu kama shillingi Millioni tatu (3,000,000/=) hivi. Nawezaje kuanza kwanza kisha baadae niongezee mtaji na kuboresha duka langu?
12. Shillingi Millioni Moja (1,000,000/=) vipi naweza kuanza biashara ya vipodozi mdogomdogo?
13. Wateja wakubwa wa vipodozi vya bei ni akina nani?
14. Nasikia Zanzibar kuna vipodozi bei nafuu sana. Hilo limekaaje?
15. Mpangilio mzuri wa vipodozi dukani mwangu uweje?
16. Nikishindwa kuendelea na biashara nawezaje kuuza duka langu?
17. Ishu ya business plan kwa duka la vipodozi inakuwaje?
18. Nawezaje kupata mtaji wa kutosha kwa ajili ya kuanza biashara yangu?
19. Vipodozi gani vimepigwa marufuku havitakiwi kuuzwa dukani?
20. Maduka gani pale Kariakoo unayajua yana vipodozi Original kweli na bei zao ni nafuu?
Uuuuggghhhh yaani ni maswali mengi sana na mazuri; nawapa majibu, nawafundisha, nawaelekeza na kuwapa support wadau hadi wanaanza vizuri au wengine wanaboresha maduka yao.
Kama na wewe ni mpenzi wa biashara hii usisite kujifunza zaidi kutoka kwetu. Unaweza kujifunza ukiwa popote pale maana asilimia kubwa ni kwa kidigitali so tutaongea kwa simu au kuchat kwa SMS/WhatsApp au kwa njia ya email.
Cheki nasi ...... 0788179686 | afyazaidi@gmail.com