Kama una nia ya dhati ila hauna mtaji wa kutosha kuanzia vizuri basi shillingi millioni moja (TZS 1,000,000) unaweza kujibanabana ukaanza biashara ya vipodozi.
Changamoto kubwa utakazokutana nazo na kutakiwa kukabiliana nazo ni kukosa soko la Uhakika, kushindwa kukamilisha mahitaji ya wateja, kukosa faida ya kutosha kukidhi gharama za uendeshaji, ushindani mkubwa, kushindwa kukidhi mahitaji ya wateja, mtaji mdogo, bidhaa ku expire, adhabu kutoka TBS/TRA/Manispaa na kuibiwa bidhaa/fedha.
Baada ya hapo utafanikiwa na kufurahia faida ya angalau Tsh 200,000 hadi Tsh 500,000 kila mwezi biashara yako ikiwa stable.
Kama Unataka kuanza biashara ya vipodozi Basi ni vyema ucheki nasi upate taarifa sahihi na ushauri mzuri ili usikwame huko mbele ya safari ......
WhatsApp 0788179686 | Email: afyazaidi@gmail.com