Hi! Tuna programu maalum ya mwezi mzima kwa mtu yeyote ambaye anasumbuliwa na tatizo na anahitaji ushauri wa mambo gani afanye na vitu gani atumie. Kupitia programu hii unapewa mshauri wa kukusaidia kutatua tatizo lako na Kutimiza mahitaji yako. Jiunge na programu hii sasa ili uweze kupata solution ya tatizo lako, iwe ni ugonjwa au tatizo jingine lolote kwenye mwili wako.
PROGRAMU YA MWEZI: Kuwa na mshauri wako Private kwa mwezi mmoja ambaye atakupa dondoo, elimu na ushauri wa kitaalam wa kukusaidia kuelewa na kukabiliana na tatizo linalokusumbua hadi kutimiza malengo yako ya kuishi vizuri na kwa furaha.
Dondoo, elimu na ushauri mwezi mzima kwa njia ya WhatsApp au Email.
WAHUSIKA: Watu wote wanaosumbuliwa na matatizo mbalimbali na wanaohitaji ushauri wa dawa na vipodozi.
FAIDA: Pokea masomo, pata orodha ya vitu vya kununua na kutumia, ushauri wa matumizi mazuri na mbinu za kutatua tatizo lako kwa wakati na gharama nafuu
UTARATIBU: Unajisajili kisha unaanza. Kujisajili unaandikisha majina yako kamili, mahali ulipo, mawasiliano yako na tatizo linalokusumbua au malengo ambayo unahitaji kutimiza. Kukamilisha usajili unalipia ada yako ya mwezi kwenda namba 0788179686 kisha unatuma meseji ya muamala kwenda WhatsApp 0788179686 au Email: afyazaidi@gmail.com
Tukipokea taarifa zako tunakusajili na kuanza program yako ndani ya masaa 48.
ADA: Tsh 5,000/Mwezi
ANZA SASA: Fanya usajili wa taarifa zako, kamilisha usajili kwa kulipia Ada ya Tsh 5,000 kwenda namba 0788179686 kisha tuma meseji ya muamala wako kwa WhatsApp 0788179686 au Email: afyazaidi@gmail.com
MAELEZO ZAIDI: Kwa maelezo zaidi tafadhali tembelea website yetu https://afyazaidi.co.tz au wasiliana nasi kwa WhatsApp 0788179686 au Email: afyazaidi@gmail.com
Karibu sana AFYA ZAIDI CONSULTANTS!