Jaribu Kupata Ushauri Wa Kina Kutoka Kwa Mshauri Wetu
Hii ni njia rahisi na ya haraka zaidi ya kupata solution ya tatizo lako na kukidhi mahitaji yako ....
Kuna jambo linakusumbua na ungependa kuongea na mtaalam mara moja chap na kupata mawazo na ushauri ili kulitatua? Ni rahisi, fanya booking uongee na mshauri wetu wa dawa, vipodozi, lishe, Afya na kadhalika. Tumia hii programu yetu itakupa matokeo mazuri.
PROGRAMU: Kuongea na kujadili na mshauri wetu wa dawa na vipodozi juu ya tatizo lako, dawa na vipodozi vitakavyokusaidia kutatua tatizo lako.
Utamuuliza maswali, utamuomba ushauri, atakupa plan, atakushauri mambo ya kufanya na vitu vya kutumia. Pia utakuwa pamoja naye kwa follow up na support kwa muda wa mwezi mzima. Bila shaka ndani ya kipindi hicho utakuwa sawa
MUDA: Dakika 30 pamoja na mwezi mmoja wa follow up na support
UTARATIBU: Unajisajili kwa kuandikisha majina yako kamili, mahali ulipo, mawasiliano yako na tatizo lako. Baada ya hapo unakamilisha kwa kulipia booking ya appointment yako kwenda namba 0788179686.
Ukimaliza unatuma meseji ya muamala wako kwa WhatsApp 0788179686 au Email: afyazaidi@gmail.com kisha nasi tutakufanyia booking na kukupa appointment ndani ya saa 24.
ADA: Tsh 5,000 tu kwa matatizo yako yote, siku nzima
ANZA KUFURAHIA LEO: Fanya booking sasa. Sajili taarifa zako kisha lipia ada yako uanze kufurahia huduma hii sasa.
MAELEZO ZAIDI: Tafadhali tembelea website yetu: https://afyazaidi.co.tz au wasiliana nasi kwa WhatsApp 0788179686 au Email: afyazaidi@gmail.com