Jaribu Darasa Letu La Mwezi Mmoja
Ni njia ya uhakika ya kupata matokeo mazuri kwa wakati mfupi na gharama nafuu
Darasa la mwezi: Maalum kwa ajili yako peke yako kwa ustaarabu na utulivu zaidi. Wewe tu na mwalimu wako. Jua mambo ya kufanya, vitu vya kutumia na jinsi ya kuvitumia vizuri ili kufanikisha lengo lako. Njia za WhatsApp na Email, chaguo ni lako …….
Maelezo: Darasa hili ni maalum kwa ajili ya kuwafundisha, kuwaelekeza na kuwashauri watu wenye matatizo na mahitaji mbalimbali ili kuwasaidia uelewa mpana, kutatua matatizo yao na kutimiza mahitaji yao. Kila mtu anafundishwa na kushauriwa peke yake yeye kama yeye, hivyo hakuna bugudha wala changamoto kutokana na watu wengine. Malengo ni kusaidia watu wenye matatizo kudhibiti na kupona matatizo yao, pamoja na wale wenye mahitaji kufanikiwa kujua wanayoyataka, kupata wanayoyatafuta na kukidhi mahitaji yao.
Maelezo zaidi kuhusu sisi, bidhaa na huduma zetu tafadhali tembelea tovuti yetu: https://afyazaidi.co.tz
Mfano 1: Mtu mwenye tatizo la harufu mbaya ya mdomo anajiunga na darasa hili kisha anafundishwa, anaelekezwa na kushauriwa mambo ya kufanya, vitu vya kutumia na jinsi ya kutumia ili kudhibiti tatizo lake lengo likiwa ni kumsaidia kupona tatizo lake na kuwa na harufu nzuri ya mdomo. Baada ya muda tatizo lake linaisha na anakuwa na harufu nzuri ya mdomo.
Mfano 2: Mtu mwenye kuhitaji kufanya biashara ya dawa (Famasi) anajiunga na darasa hili kisha anafundishwa, anaelekezwa na kushauriwa mahitaji ya famasi, taratibu za kuanzisha famasi, jinsi ya kufanya biashara vizuri, mbinu bora za kusimamia na kuendeleza famasi na kadhalika. Baada ya muda anafanikiwa kuanzisha famasi yake na kuiendesha kwa mafanikio.
Mwalimu: Mtaalam wa dawa/vipodozi/nesi/daktari/lishe/biashara na kadhalika kutegemea na tatizo lako au mahitaji yako.
Muda: Mwezi mmoja
Ada: Tsh 5,000/Mwezi (Tsh 10,000/Mwezi kwa madarasa ya biashara)
Jinsi ya kujisajili: Lipia ada yako kwenda namba 0788179686 kisha tuma meseji ya muamala wako kwa WhatsApp namba 0788179686 au Email: afyazaidi@gmail.com ukitaja jina lako kamili, mahali ulipo na tatizo lako au mahitaji yako.
Mrejesho: Tutakutumia meseji ya kukupokea na siku na muda wa kuanza darasa lako ndani ya masaa 24 baada ya kuthibitisha. Ikipita masaa 24 hujapata taarifa yoyote kutoka kwetu basi unaweza kuwasiliana nasi kwa namba 0788179686 na utapata huduma bila tatizo lolote.
Karibu sana AFYA ZAIDI (AZ) CONSULTANTS!