FURSA ZA UWEKEZAJI NA MITAJI
Shiriki Kikamilifu Upate Upeo Mpana Na Fursa Za Uwekezaji Na Mitaji .....
Hi!
Siku ya Ijumaa tarehe 6-5-2022 tutakuwa na presentation fupi kupitia Zoom kuhusu fursa za biashara na mitaji kwa wadau wa biashara/huduma za afya, dawa, vifaa vya hospitali, vipodozi nk.
Kama wewe ni mfanyabiashara, muwekezaji au ungependa kuwekeza au kufanya biashara katika maeneo hayo basi karibu ushiriki ....