Kuna bonge la Beach Party tumeandaa mwisho wa mwezi huu kwa ajili ya wadau kukutana pamoja na kufurahia week end. Itafanyika siku ya Jumamosi tarehe 29.01.2022 pale Barracuda Beach Resort, Kigamboni, kuanzia saa 6 mchana hadi usiku mnene. Jiandae uje kurefresh akili yako na kufurahia maisha yako ………
Utafika Barracuda Beach Resort na kupokelewa na timu yetu ya mapokezi kisha utaoneshwa sehemu mbalimbali za kupozi au kupiga story na wana. Then utapata chakula, kinywaji, kukata/kula keki ya party na mziki. Baada ya hapo tutaendelea na mziki mkubwa, kuogelea, michezo ya beach, kupiga mapichapicha (photo shooting), kupiga story na wana, kunywa vinywaji vingine na kadhalika.
Kwa kifupi itakuwa ni burudani na shangwe mwanzo mwisho. Yote hayo ni kwa mchango wa TZS 30,000 tu; na TZS 14,000 tu kwa mtoto (Isipokuwa pombe na vinywaji vingine ambavyo vipo nje ya package, hivyo utalipia mwenyewe).
Na bei za vinywaji vilivyopo nje ya package hata sio kubwa sana, yaani:
Local beer (Ndogo) - TZS 2,000
Maji madogo - TZS 1,000
Maji makubwa - TZS 2,000
Soda - TZS 1,000
Juice - TZS 5,000 hadi TZS 6,000
Wine - TZS 18,000 hadi TZS 25,000
Konyagi kubwa - TZS 15,000
K Vant kubwa - TZS 15,000
Ni Party ya kumaliza stress na kufurahi. Kata tiketi yako mapemaaaaa ……….
JINSI YA KUKATA TIKETI YAKO
Unaweza kukata tiketi yako kwa njia yoyote kati ya hizi zifuatazo:
Njoo mwenyewe ofisini Medilife Healthcare - Ilala (Mtaa Wa Arusha) lipia Tsh 30,000 kisha chukua tiketi yako
Lipia TZS 30,000 kwenda namba 0 788 179 686 kisha tuma meseji ya muamala wako kwa WhatsApp 0788179686 au Email: afyazaidi@gmail.com nasi tutakutumia tiketi yako ya kielektroniki ambayo ukionesha tu siku ya Party tutakupa tiketi ya karatasi pamoja na wrist band na kuruhusu uingie ndani
Fika kwa wakala wetu aliyepo karibu na wewe kisha lipia Tsh 30,000 na chukua tiketi yako
Kariakoo: Hadija, 0 673 716 147
Ubungo: Delfina, 0718985895
Keko: Juma, 0 717 015 144
Kigamboni: Irene & Melania, 0 621 915 311 / 0 763 953 655
TIKETI ZINAWEZA KUISHA MAPEMA
Kata tiketi yako mapema kujihakikishia kwamba hukosi Party hii. Kwa maelezo zaidi tafadhali wasiliana nasi kupitia WhatsApp namba 0 788 179 686 au Email: afyazaidi@gmail.com
USIKOSE MTU WANGU !!!!!